Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Wakuu kwa dar ni duka lipi naweza kupata router kama hii?

Screenshot_20211002-232632_Bazaraki.jpg

Screenshot_20211002-232622_Bazaraki.jpg
 
Wakuui habari,

Naomba kuuliza kama inawezekana ku unlock simu inayotumia mtandao mmoja,na niweze kutumia mtandao wowote ule,naombeni sana tafadhar mimenunua kasimu ka Tigo naona kanalazimisha niweke line ya tigo pekee yake,
 
Yangu imeharibika adapter yake tu,ebay inaweza kuwa shilingi ngapi?
nenda na hiyo router na hiyo adpter iliyoharibika kariakoo
mtaa uhuru na msimbazi unapata utaona jamaa wanauza remonte na adopters zipo nyingi sana una haja ya kuagiza tena GENUINE 7bu nyingi ni za mtumba huwa wanapata kutoka katika maofisi mbalimbali
 
Ahsante sana mkuu
 
Wakuui habari,

Naomba kuuliza kama inawezekana ku unlock simu inayotumia mtandao mmoja,na niweze kutumia mtandao wowote ule,naombeni sana tafadhar mimenunua kasimu ka Tigo naona kanalazimisha niweke line ya tigo pekee yake,
Inawezekana mkuu ni vyema ungeandika model tungekusaidia kama ni zile zinazodai code hazihitaji computer ila kama haidai unahitaji computer kuunlock
 
habari zenu jamani kama kuna mtu anayo free software ya idm anisaidie
 
Mkuu na vip kuhusu halotel router r6601 unlock vip?
Tumia njia hii kufungua router yako ya Halotel R6601 itumie mitandao yote Tanzania. Imejaribiwa kwenye mtandao wa Tigo, Airtel na Vodacom. Zinafanya kazi 100% Angalia hiyo video
 
Back
Top Bottom