Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

muda huu nimejaribu ku update firmware ya airtel ila inaniambia dashboard or update wizard is running, quit it and try again.
Ni Huawei e303s, au 303Hilink?. Huo msaada unaohitaji kwa maelezo ya kuficha ficha utasubiri sana. Huwa hiko hivyo. Naomba msaada wa kuunlock modem yangu ya huawei e303s-1 ya TIGO.
 
Habari ndugu zangu,

Naomba msaada jinsi ya ku unlock modem ipate kutumia sim card zote, Modem ni vodacom, manufacturer ZTE
 
Kwanini nisitumie hotspot ya simu badala yake nihangaike na modem?
 
Thanks kwa uzi mzur mkuu je unaweza kuunlock huawei e3372h-152 kwa algo mechanism
 
sheria Inasema unapo unlock network lock??
 
Mkuu msaada,nina moderm HSDPA 7.2.ni universal ,ila imedesigniwa kutumika katika window7,8,xp,vista.namimi natumia window 10.

Msaada hapo wakulungwa nifanyeje ili isome
 
Back
Top Bottom