Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Mbona pesa ndogo sana hiyo kwa kilimoChukua jembe chimba shimo weka mbolea yyte ile weka hizo hela fukia kisha mwagia maji juu hapo subiri kuvuna hyo hela baada ya wk tatu.
Yajayo yanafurahisha uko tayari?
Yaani kilimo ndo unaanza kwa mtaji wote huo, fuata ushauri niliyokupa.
Yaani wabongo tusisikie mtu ana pesa.njoo ujifunze shambani kwangu kwanza mkuranga alaf kama utavutiwa utakuja tufanye share
Kwa comment hii inaonyesha wewe sio mjasiriamaliUsijaribu kuwekeza hela nyingi hvo anza taratibu hafu sikuhizi matikitiki yapo mengi hata soko lake si nzuri, Fanya utafiti wengi waliolima matikitiki wanalia, mwenzako aliwekeza million 60 sasa hivi analia. Kilimo bongo hii ni janga anza na hela dongo upate uzoefu.
Acheni kumdaganya mwenzenu huoni mafuriko ya matikiti had hayana thamani, abuni kitu unique au wewe ujasiriamali ni Ku copy vtu vilivo sokoni sasa hapo faida atapata lini. Vtu vingine ni kutumia akili ya kawaida tu ya kuvukia barabaraKwa comment hii inaonyesha wewe sio mjasiriamali
Kwa hela hii bora awe dalali sokoniDuuuuu sijakuelewa una million 20 ila mtaji wa kuanzia ni 20000 unamaanisha nn aice? ??,
uupime au uangalie rutuba ya mazao mengine yanayolimwa hapo rikiti linahitaj mbolea nyng na maji kias so ndo uangalie hivyo vitu kama vipoBro uko vizuri,ila ntajuaje udongo unakubali tikiti!
Hujaeleweka.Hili wananchi wengi wa taifa waendelee wanatakiwa waajiriwe siyo kutegemea kujiajir. Nchi tajir zilizoendelea asilimia zaid ya 90 wameajiriwa. Sasa CCM....
Mkuu vipi? Umenijibu huku unakunya?Hujaeleweka.
Rudia kuandika.
Naona pumba tu.
Hizi ndizo hesabu zinazowaliza wengi 9milioni upate 30 million ndani ya miezi minne tu faida 21miliion yaani emu niache kidogoKama unategemea soko la ndani. Tikiti usilime zaidi ya heka tatu. Zaidi jaribu kulima mazao tofauti. Zingatia soko. Ungekuwa hujachelewa ningekushauri ukalime vitunguu maji moshi mda huu. Eka 3 ungetumia kam 9m na usingekosa 30m baada ya miezi 4 ukiwa na usimamizi makini.
Daima kumbuka kilimo bila usimamizi wako ni majanga.
Asante bibieAcheni kumdaganya mwenzenu huoni mafuriko ya matikiti had hayana thamani, abuni kitu unique au wewe ujasiriamali ni Ku copy vtu vilivo sokoni sasa hapo faida atapata lini. Vtu vingine ni kutumia akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara
Hiyo aachanane nayo huyu kuna mtu kamtengeneza kuwa biashara ya matikiti inalipa ila yeye hajaifanyia utafiti sasa atumbukize hiyo hela na usawa huu augue ukichaaUSIKURUPUKE,hakikisha unapata mtu ambaye keshawahi lima ndo awe taa yako,usiweke pesa yote shambani hasa na eka moja tu,hakikisha hilo shamba una uhakika nalo