A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
- Thread starter
- #21
Ubinafsi ni kwelikwa kifupi ni ubinafsi na choyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubinafsi ni kwelikwa kifupi ni ubinafsi na choyo
Umesema kweli kabisa..Ndoa kweli ni kitu cha kuheshimika
makosa ni pale tunapoacha msingi unaojenga ndoa, msingi huo ni Mungu ambaye ni mwazilishi wa ndoa ili tuzae tuongezekee.
Na akaweka mambo mawili yanayowahusu wanandoa
1. MUME - Kumpenda mkewe
2. MKE - KUMTII muwewe
Kila mmoja akisimama katika nafasi yake vizuri haya tunayoyaona na kuyasikia yasingekuwepo.
Wazazi wetu wakati wanaolewa walikuwa wanalia wemgine hata vichwa kuinua hawakuweza walifunzwa na kujua wanachokiendea lakini ni tofauti sana na sasa
Sio kukwepa majukumu huku?Kataa ndoa
Labda tujue sababu inayompelekea kijana kuoa ni nini.. Umri? Familia? Au sababu nyinginezoVijana wakiachana na mawazo ya kupata mwenza wa kusaidiana maisha na ku-stick kutafuta mama walezi wa watoto wao taasisi itarudi ktk ubora wake.
Tafuta leo aliyeoa mama wa nyumbani na aliyeoa mfanyakazi utaelewa nachomaanisha hapa.
Kaka mkubwa lazima kuna sehemu tumeteleza.. Binafsi sitamani ndoa itakayo feli sasa nyinyi mlio tutangulia mtueleze tufanyeje fanyejeHuko tuendako hali ni ngumu zaidi si kwa wanawake si kwa wanaume
Tuchambulie ndugu ni standard zipi kwa mtazamo wako ambazo anapaswa kwa nazo mwanamke.Tatizo ni wanaume kushusha standards za wanawake wa kuwaoa
Wengi wanafanya maisha na wanawake malaya
Ndoa ni mpango mtakatifu tangu mwanzo, ujumbe mwema utokao kwa Mungu, yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe.Natumai mnaendelea vyema wadau.
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Uzi huu unahusu sawa zima la ndoa.
Kwa miaka mingi ndoa imekuwa ni kitu cha kuheshimika au heshimana wengi wetu tunaona ndoa kama ndio msingi wa familia.
Lakini ni wapi kwa kizazi hiki tumekosea kiasi kwamba kumekuwa na maumivu mengi, malalamiko na hadi wengine kufikia uamuzi wa kuto kama kama na kuolewa. Ili hali tunaona ndoa ambayo inatengeneza familia ndio chanzo cha malezi bora kwa watoto.
Ni wapi haswa tunapokosea?
Je, ni sahihi kuendelea kuandaa kizazi cha watoto ambao wengi wao ni wanalelewa na single mother au single father?
Nawasiliasha ndugu zangu.
Mimi experience yangu ya udogoni ilichangia nione kama mahusiano na ndoa ni uzushi nikawa na mtazamo mbaya juu ya ndoa. Lakini jinsi nilivyoendelea kukua nimekuja kuna ndoa sio zote ni mbaya.. Na imenifanya kufikiria kwa na ndoa/familia kwa ujumla.. Natamani sana kuna familia yangu katika malezi ya pande zoteMimi toka mwanzo nilikuwa nafikiria kuishi huru kama ndege wa porini,ndoa ni kujinyima uhuru
Kweli..Ndoa ni mpango mtakatifu tangu mwanzo, ujumbe mwema utokao kwa Mungu, yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe.
Mke sio kidude cha kujaribu miguu yako, Mume si kipaza sauti cha kupigia kelele.
Mpendane, msichokozane Amani ya Mungu iwe ndani yenu.🐒
Christ Saint
Tumemkataa Mungu, akatuachia tujikate na kiwembe tunacholilia.Natumai mnaendelea vyema wadau.
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Uzi huu unahusu sawa zima la ndoa.
Kwa miaka mingi ndoa imekuwa ni kitu cha kuheshimika au heshimana wengi wetu tunaona ndoa kama ndio msingi wa familia.
Lakini ni wapi kwa kizazi hiki tumekosea kiasi kwamba kumekuwa na maumivu mengi, malalamiko na hadi wengine kufikia uamuzi wa kuto kama kama na kuolewa. Ili hali tunaona ndoa ambayo inatengeneza familia ndio chanzo cha malezi bora kwa watoto.
Ni wapi haswa tunapokosea?
Je, ni sahihi kuendelea kuandaa kizazi cha watoto ambao wengi wao ni wanalelewa na single mother au single father?
Nawasiliasha ndugu zangu.
Haha kweliTumemkataa Mungu, akatuache tujikate na kiwembe tunacholilia.
Wanaume wa jf si ndio hao hao wa mtaaniHawa wanaume wanaooa kila kukicha hawapo Jf huku eh