Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

Kafulila kajitahidi Sana kutambulisha hiyo Pipip shida huku mikoani hawaelewi kabisa
 
Kafulila kajitahidi Sana kutambulisha hiyo Pipip shida huku mikoani hawaelewi
 
Kafulila PPP Haina hela ndio tatizo nendenii Kenya mkaone
 
Mkuu siungepeleka youtube huko, si tusio na youtube utuache na JF yetu tuendele kuchati.
 
Kama kawaida tumbili na multiple ID zake kujianzishia mada na kujijibu.
 
🤣🤣🤣🤣kinafiki cha taifa au wazeee wa mipango makaratasi yaan mipango kibao utekelezaji sifuri bin zero
 
Ili kufikia trilioni 477, ni lazima wigo wa kodi upanuke kwa kasi ya ajabu.

Kuna ujumbe umetumwa hapa.
 
Acha uzushi Wewe ndg yangu
Unajua maana ya PPP
Kwanza kirefu chake unajua nilishawahi kukaa na huyo
Kafulila ? Ngoja nikueleweshe maana ya PPP ni public Private partnership Wewe mzawa au mgeni unaweza kuingia ubia na serikali ukajenga barabara wenge gari wakawa wanalipia Je unajua kiwango cha chini ni
Shilling ngapi uweze kufanya hiyo Partnership? Kianzio na kiwango cha chini ni bilioni 50 mchezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…