Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Nimekumiss wewe kaka jaman kwann siti yako unawaachia watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss wewe kaka jaman kwann siti yako unawaachia watu
Zinatoshaaaa sana[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Kwani shem kwa kuwaagia hazitoshi hizo?View attachment 737359
Hahaha sio bia tu hata vyengine utalewa pembeni akiwepo Mr Tunguli ndo usiseme.Zinatoshaaaa sana[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kesho nitalewaaa bia mpaka basiii
Vingine ndo vipi nichombezeee shemelaaaaaaHahaha sio bia tu hata vyengine utalewa pembeni akiwepo Mr Tunguli ndo usiseme.
Usiwaze shem subiri kesho ifike insha Allah.Vingine ndo vipi nichombezeee shemelaaaaaa
Ndo nini mkuu sijakuelewa mimi.Vichekesho
Baby kanikataza kaniambia niwe naingia mara 1 mojaNimekumiss wewe kaka jaman kwann siti yako unawaachia watu
wapi nafyagia mkuuWe siku hizi umezidiwa namba baada ya kupata sehemu ya kufyagia.
Si huko uliko kashikilia kaofisi?wapi nafyagia mkuu
kaofisi ka kufagia tukimaliza ndio kama hivi tunakuja JFSi huko uliko kashikilia kaofisi?
Kwanza niwape pongezi kwa kuwa wavumilivu kwenye uchumba wenu na kumaliza harusi yenu salama.
Lingine nilishindwa kupata wasaa wa kuhudhuria kwenye shughuli hiyo nawaomba radhi kwa hilo.
Na la mwisho nawalika Mr's vs Mr kesho tuonane maeneo yetu ya Mabibo.
Kwa kuwa harusi ilinipita sina budi kuwaandalia kasherehe kadogo kwa ajili yenu wakiwemo na wengine ambao watapata wasaa wabkuhudhuria kwenye kasherehe hako.
Nisingependa watu wafuatao wakose kuja kwenye dhima hii.
- Daby - wewe utakua mc wetu.
- Ushimen - kamati ya vinywaji.
- Bujibuji - vyakula.
- Curious gal - Kwenye mapambo.
- The list - utakua unaangalia wanaotaka kuharibu sherehe hiyo.
Hao niliowataja ni wawakilishi tu ila kuna wengi ambao sijawataja lakini wamo kwenye sherehe yetu.
Niwatakia wikiend njema.