Mada maalum:Je umetenga asilimia ngapi ya kipato chako kwa ajili ya wazazi wako?

Bahati mbaya wazazi wangu wametangulia ila huwa nahakikisha kila mwezi namtumia mama mkwe kias flan cha fedha, hata kama Mr anamtumia mimi wajibu upo pale pale ni utaratibu niliojiwekea.
[emoji121]
NI_PM NAMBA YAKO MKUU.
 
Mleta mada ni jukumu la mzazi kumlea mwanae hadi ajitegemee vinginevyo alimleta duniani ili nani amtunzie mwanae?, Na mtoto kumtunza mzazi/ mlezi hususani ambae nae alikuhudumia kadri ya uwezo wake ni jambo la kheri. Ila familia zinatogautiana kuna wazazi wengine wako vzr kiuchumi kiasi kwamba wanae wana vipato vyao lakini bado wanawasupport tu na wengine wanategemea watoto wao kiuchumi so kila mmoja atimize wajibu wake sio mzazi alikuwa na kauwezo hakumpa mwanae support yoyote baada ya kusaidiwa na watu baki akishapata mafanikio ndio anajitokeza na kujifanya analaani eti huyu mtoto hataki kunitunza mzazi wake
 
Pamoja na umuhimu wa kuwasapoti wazazi...hasa kama kiuchumi wao duni....lakin nadhan funzo kubwa kabsa ni sisi tulio vijana kujenga misingi imara itakayotufanya tusiwe tegemezi hadi tunaingia kaburini. Ni muhimu sana kuhakikisha hatuji kutegemea msaada wa watoto wetu. Tuwekeze vya kutosha kabsa...tuwafundishe watoto kujitegemea mapema.

La muhimu kabsa...tuhakikishe kama wazazi wetu hawakufanikiwa kujiimarisha kiuchumi basi leo isiwe fimbo ya kuwanyanyasa. Tena tusisahau mahitaji yao si ya kutisha sana ila wakati mwingine wanaweza kutaka hela kwa matumiz ambayo kwa mtizamo wako ni hasara....hili tujaribu kulielewa sana .....tekeleza kwa mapenzi yako kwa mzazi na si kwa sababu ya nini anakwenda fanyia kwa hiyo pesa unless anahitaji kwa jambo la kipuuzi kabsa..eg kwenda kwa mganga wa kienyeji kupiga ramli...hapo binafsi namtosa!!
 
Kwa kufanya hivyo, watoto wako nao watakufanyia hivyo hivyo utakapo zeeka, hivyo basi, mzunguko wa vizazi vinavyoanza maisha na sifuri utakuwa unaendelea. Ni bora kuacha kizazi kimoja kihangaike ili kunusuru vizazi vijavyo.
 
Bodi,nssf,tughe,tax,maji,nyumba,umeme,ada watoto nk nk.tusiwe wanafiki.jikune unapoweza
 
Kwa kufanya hivyo, watoto wako nao watakufanyia hivyo hivyo utakapo zeeka, hivyo basi, mzunguko wa vizazi vinavyoanza maisha na sifuri utakuwa unaendelea. Ni bora kuacha kizazi kimoja kihangaike ili kunusuru vizazi vijavyo.
Sawa mkuu tunatofautiana katika malezi wengine tumelelewa katika familia duni ambazo bila kurudisha fadhila Leo nitakosa hata ushauri wao
 
Mentality za kukwepa majukumu hizi mtaziacha lini? , unaongea kama vile sio mwafrika... Mzazi kakulea umenyonya maziwa yake mpaka misuli imelegea na nguvu zimemwishia... Nani amlee?
 
Hujanielewa kwa sababu umesoma komenti yangu ili ujibu na siyo ili uielewe, pia huoni mbali, unawaza mambo ya chini ya miaka 10, kitu ambacho ni tatizo kubwa kwa sisi Wa-Afrika.
Tumekuwa tukiiga mambo ya kipumbavu kutoka kwa wazungu, ambayo yanasababisha maisha yetu kuwa magumu. Lakini tunashindwa kuiga mambo ya maana ambayo yangetufanya tuishi maisha mazuri. Rudia tena kunisoma hapo juu kisha tafakari, labda utanielewa. Lakini soma ili uielewe, usisome ili ujibu!
 
umeongea point best wengine wmejisahau kabisa aaaa wao starehe
 
Sawa mkuu tunatofautiana katika malezi wengine tumelelewa katika familia duni ambazo bila kurudisha fadhila Leo nitakosa hata ushauri wao
Kidogo unaanza kunielewa. Unaweza kurudisha fadhila bila kuathiri familia yako.
Unachotakiwa kufanya ni kuwachukua wazazi wako na kuishi nao kwako kama sehemu ya familia, hapa unatakiwa usizae watoto wengi, wawili, wakizidi sana watatu.
Kisha anza kupanga maisha yako ya uzeeni huku ukiwalea watoto na wazazi wako, watoto wakiwa wakubwa wape michongo, watakapoanza maisha na wewe ukiwa unajiweza kiuchumi, tayari itakuwa umekwisha washushia mzigo wa kukulea wewe.
Ni vijihesabu vidogo, lakini vinataka uone mbali na matokeo take uchukua miaka mingi kuonekana.
 
sio wazazi wote wanahitaji msaada ..wengine wana uwezo mara mbili ya kipato changu ..yaan ukimpa kwanza anakuonea huruma ..kikubwa ninachofanya namnulia zawadi kama vitenge vyenye thaman kulingana na hadhi yake na baba namnunulia kitambaa cha suti akashone kaunda suti maana anazipenda sana hizo na viatu ..wenye hapo wanafurah tofauti na kumpa pesa...wezazi wengine matumizi yao kwa mwezi ndio mishahara ya watu...
 
Ki ukweli kama utaishi mbali na mama na baba huwezi kuwa na mapenzi na yeyote zaidi ya wale ambao wamekulea na umekulia hapo.Walezi wangu ni Babu&Bibi upande wa mama,sasa nimejikuta mpaka mama simpi priority zaidi ya Bibi yangu.Kupitia hii situation ni mbaya sana Baba unatia mtu ujauzito halafu unakimbia ni kuathiri watoto kisaikolojia tuu.Yaani Baba simjui hata na mama nilikuwa nakutana naye kwa miaka minne mara moja hadi leo ni hivyo hivyo.
 
Kwa nini baba ujampa ATM card
 
Unaloliongea ni sahihi lakini plan yako ndo zero kabisa.Kawaida hata kama ni sabuni tu,ukimpa mzazi au mlezi,lakini kwanza wewe umejipangaje! Usikulupuke mwisho wa siku ukaharibu.Nina rafiki yangu,ameoa na mtoto mmoja. Wazazi wake waliishi kwa starehe kipindi wanafanya kazi,leo hii hata mboga hadi mtoto wao atoe hela,kila hitaji unalolijua wanamtegemea.Kumbuka hapo,ana familia yake, anakaa nyumba ya kupanga.Kero zaidi,baba na mama wanashindana kuwaleta watoto wa ndugu zao wakae nao,na kuzanzia karamu ananunua huyo mtoto wao.Sasa,wewe kama wewe,ukiwa na akili timamu wazazi hao utawasaidia nini? Sasa hapa mke akigomba utafanyaje? Na isitoshe,huwezi ukapanga bajeti ya wazazi wako bila kupanga hata ya wazazi wa mkeo.Hivyo basi, ni bora mara moja moja kama umefanikisha na kuona ukitoa chochote kwa wazazi wenu,sio wazazi wako tu.Kila mwezi haiwezekani labda kama unataka lawama.Maana nimeliona kwa watu tofauti,mwanaume atawajali tu wazazi wake,je mkeo hana wazazi? Na ukilazimisha akikasilika utajuta kuoa
 
Kwa nini baba ujampa ATM card
Baba anabiashara zake Alhamdullah,na ndio alokua ananishikilia sana kwenye mambo ya kama kujenga kununua viwanja
na yeye ana simamia,Mama anaelewa nnavyotabika Baba wala hata hataki kujua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…