Mada maalum:Je umetenga asilimia ngapi ya kipato chako kwa ajili ya wazazi wako?

Mada maalum:Je umetenga asilimia ngapi ya kipato chako kwa ajili ya wazazi wako?

Unaloliongea ni sahihi lakini plan yako ndo zero kabisa.Kawaida hata kama ni sabuni tu,ukimpa mzazi au mlezi,lakini kwanza wewe umejipangaje! Usikulupuke mwisho wa siku ukaharibu.Nina rafiki yangu,ameoa na mtoto mmoja. Wazazi wake waliishi kwa starehe kipindi wanafanya kazi,leo hii hata mboga hadi mtoto wao atoe hela,kila hitaji unalolijua wanamtegemea.Kumbuka hapo,ana familia yake, anakaa nyumba ya kupanga.Kero zaidi,baba na mama wanashindana kuwaleta watoto wa ndugu zao wakae nao,na kuzanzia karamu ananunua huyo mtoto wao.Sasa,wewe kama wewe,ukiwa na akili timamu wazazi hao utawasaidia nini? Sasa hapa mke akigomba utafanyaje? Na isitoshe,huwezi ukapanga bajeti ya wazazi wako bila kupanga hata ya wazazi wa mkeo.Hivyo basi, ni bora mara moja moja kama umefanikisha na kuona ukitoa chochote kwa wazazi wenu,sio wazazi wako tu.Kila mwezi haiwezekani labda kama unataka lawama.Maana nimeliona kwa watu tofauti,mwanaume atawajali tu wazazi wake,je mkeo hana wazazi? Na ukilazimisha akikasilika utajuta kuoa
wacha ujinga wewe.....usitafute sababu......ushatawaliwa na mkeo......wazazi hawana kipimo wala mfano.....kuwahudumia kwa hali yeyote ni lazima.....waliishi kwa starehe.....but walikupeleka shule na mavi walikutawaza......huyo mkeo ashawahi kugusa mavi yako, ada ya shule alikulipia.......pambafu sana.......tumia akili kutoa hoja,,,,sio kutumia makalio....
 
Back
Top Bottom