Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,554
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejitahidi kujua aliechora sijafanikiwa bado maana hata nilipoitoa haijaonesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanaCheryl Navaro pamoja na Mahesh panditView attachment 1058471View attachment 1058472
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahha si kwa uchoraji huo tena unacopy. Mimi najua kuchora shida ipo hapo kwenye kuchanganya rangi.
Hahahhahha si kwa uchoraji huo tena unacopy. Mimi najua kuchora shida ipo hapo kwenye kuchanganya rangi.
Niliwahi kuwa mchoraji bora miaka ile ya ya mwanzo ya 1990. Nikiwa na soma pale Moshi technical Sec School. Mashindani yaliandaliwa na Bonite Bottlers ltd. Ajabu nikazawadiwa creat 1 ya soda na tshirt. Ilikuwa imeandikwa U have acoke u have smile.
Naweza kuchora sura za aina tofauti. Sura ya mtu mwenye hofu, Mtu aliyechoka, mwenye furaha na mtu katili.
Kesho ntakuwekea hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, huyu Chevelin Pierre yuko njema sana. Nimependa sanaa zake.Jamaa art zake sio za mchezoView attachment 1056150View attachment 1056151View attachment 1056152View attachment 1056153
Sent using Jamii Forums mobile app
Proportionality ya uso .......imekuwa too much elongated. I am not artist though
Mimi naona hii picha haina tatizo,Proportionality ya uso .......imekuwa too much elongated. I am not artist though
Nikiwa bado mdogo primary na mwanzoni mwa maisha ya sekondari uchoraji ndo ilikua hobby yangu, nilianza taratibu kuacha kuchora na mpaka sasa nimeshakuwa mzito. Natamani sana ningepata mahali wanapotoa mafunzo ya uchoraji ili angalau niamshe kipaji changu kilichozima