Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna picha umu nashindwa kabisa kuamini kama ni mtu kachora...ila salute kwa wote wachoraji napenda sana ii kitu ila ndo ivo sijapewa talent iyo wacha niinjoy kutoka kwa wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani ..nawalaumu sana...kuharibuPole jamaa yangu Africa vipaji vingi sana vimeuliwa kwa kutaka kufuata mitaala yetu ya elimu. Mtoto hata akiwa na kipaji atazuiwa ili asome masomo ya sec na chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hivyo...Dah pole sana, may be ungekuwa mbali sana sasa hivi
Niendelee wapi.. mkuu?
Huyu jamaa hatari hizo details kuzifanya real siju ilichukua mda gani
Mkuu we acha tu .. ....Siku maisha yakiwachapa hadi hao ndg zako ukashindwa wasaidia ndo wataona faida za imani uchwara, eti 'ukafiri' mimi kuna mipaka ya kuiamini na kuitumikia dini na kuishi katika dini ya kiislamu, mtu ukiniletea hizo stori za masheikh uchwara huwa sikuelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia huku,me huwa nachora kujifurahisha sio lazima niwafikie akina Picasso
Huyu fabiano ni hatari kama amepiga picha na kamera.
Huyu fabiano ni hatari kama amepiga picha na kamera.
Hongera sana mleta mkuu umeona mbali sana napenda sana sana sanaa hii na nimejaribu kumfundisha bint yangu ambae yupo kidato cha tatu,anajitahidi,ila shule anayosoma hawana somo la fine Art naamini angeendeleza kipaji hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app