Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Hao wote wanafanya poa sanaa
Ila mm narudi nyumbani naona mnawapanba wachoraji wa nnje sana ila nyumbani kuna vipaji moto sanaa zaidi ya ivyo nalet apicha zao za ig hapa wanavipaji vikubwa kuliko hap wazungu na wagana nimechafua wachache mana mm napenda kuangalia vitu kama ivyo ila sijui kuchora

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi binafsi ninajua sana kuchora by nature,sijachora miaka mingi sana,lakini ukinipa penseli na karatasi nyeupe nachora kirahisi kabisa,nilichora michoro fulani wakati nikiwa shule nilipata zawadi maalum na cheti,ila nilikosa wa kuniendeleza,hao wachoraji unaowaweka ningeweza hata kua zaidi yao,ninakuhakikishia.Ila wako vizuri sanaaaaaa.
 
Bila kuona picha ya kychorwa ya kiongozi mkuu wa sehemu inapojadiliwa mada mimi sichangii
2012 hiyo
Picha ya Wenger ndo picha ya mwisho kuichora na hata sikuimaliza baada ya kuhitimu kidato mengi yakawa mambo , Huwa nachora Mara moja kwa mwaka sasa mikono imekuwa mizito kuchora mchoro mmoja mikono inauma shingo, mazoezi hakuna.

Hope day one Nitarudi tena kwenye peak yangu kama nlivyokuwa shuleni
FB_IMG_1553849566819.jpeg
FB_IMG_1553849563234.jpeg
FB_IMG_1553849560023.jpeg
FB_IMG_1553849551908.jpeg
FB_IMG_1553849547924.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebhana eeeh! Namuona Big pussy( bonge la Paka)
Rafiki inaonekana unapenda sana michoro. Kumbe ningeendelea na uchoraji ungekua mteja wangu.Mimi najua kuchora aisee,wala sijisifu,lakini sikuendelea na uchoraji,niliingia fani nyingine kabisa,kuchora imo kwa damu yangu,hata sasa nikiamua kurudi sipati tabu kwani nilizaliwa mchoraji,ila wakubwa zangu hawakutaka nijikite huko.
 
Naona utofauti mkubwa sana kwenye hizi picha, nawapa credits wachoraji wote ila haswa ambao wamechora picha ya kiumbe au mth ambae sio copy yaan hajakaa akamchora Ronaldo mfano tu, ila amekaa amechora mkono tu ila unatoa maana zaidi hapo namuona msanii wa kweli. Kila dakika napitia hapa kutazama kazi nzuri always nina ndoto ya kua na picha kubwa ukutani kwangu ila sio ya mtu wala mnyama day moja nitamtafuta mtu anichoree yaani nikute umekaa ndani lakini kama uko msituni au ni kama uko baharini au unatazama kuzama kwa jua [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Few years from now you may wish you should have started today...
 
Safi sana

Hapa ndo kuna tatizo,
Familia zinataka daktari, mwalimu, rubani n. K

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soko lipo,
Ila naona wazungu na watu kutoka mbali..
Au wenyr maisha ya juu ndo hununua au kujali sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa,ingawa zamani wazazi wetu walikua wakinunua picha za kuchorwa hapahapa TZ,na kupambwa ndani,zilikua zikiuzwa mitaani tu,kwenye stendi za mabasi,railway na kwingineko,sasa hivi naona watu hawajihusishi tena na picha za kuchora sana,ila wageni ndo kwa sana,hasa mabebebru.
 
Back
Top Bottom