Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Huyu kataka kufanana na mwalimu Kashasha sema ye mzungu tu!
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kataka kufanana na mwalimu Kashasha sema ye mzungu tu!
Ha haHuyu kataka kufanana na mwalimu Kashasha sema ye mzungu tu!View attachment 1056358
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Hata mimi sipo nyumaa.View attachment 1056389
Nahitaji kuchorwa mwili mzima.
Kafanana na Gollum wa Loard of the Rings.Huyu kataka kufanana na mwalimu Kashasha sema ye mzungu tu!View attachment 1056358
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Ebhana eeeh! Namuona Big pussy( bonge la Paka)
Mh! Huyo ni wolf man na bango la Uhuru kamili wa Watanganyika?!
Kafanana na Deepika Padukone Indian actress. Om Shanti Om ni miongoni mwa movie alicheza na Sharukhan.
Huyu kataka kufanana na mwalimu Kashasha sema ye mzungu tu!View attachment 1056358
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Ukipata muda wa kupumzika unaweza kuwa unachora chora tu,Japo elimu inanibana
Tatizo elimu inanirudisha nyuma asee
Ndo nninavyofanya mkuu ila kiukweli wenzetu wametuacha mbaliiUkipata muda wa kupumzika unaweza kuwa unachora chora tu,
Hata kama ni sketch tu....
Sent using Jamii Forums mobile app