Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Dah pole sana, may be ungekuwa mbali sana sasa hiviNiliwahi kutokea mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya uchoraji ya watoto ya dunia.nikapata medali na vitu vingine lakini ..
Wazazi na hata walimu hawakukubali offer niliyopewa kwenda kusoma Japan miaka mitatu...
Kisa wale ni makafiri ..watanikengeusha! Jamii nzima iliungana kupiga vita...matokeo sikwenda na wala sikuendelezwa tena.Ila toka ndani ya moyo wangu napenda mno kuchora...ni basi tu!
Sent using Jamii Forums mobile app