Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,356
- 3,235
Nimekumbuka wakati nipo secondary tulishinda kwenye mashindano ya uchoraji hapa tz ..tuka enda kuiwakilsha taifa huko Canadá tuliondoka watatu kule ushindani ulikua mkubwa sana sisi wengi wa africa tulikua tunatumia pencil na brush za kawaida tu lakini picha zilikua ni shiiida. Zoezi lilikua ni gumu Ushindani hatari mpka kufikia top 10 ..wakatoa assignment moja yakuchora mpira. Kilichotokea ni kwamba wote tuliochora mpira kama duara kesho yake tulianza safari ya kurudi home. ndipo nikatundika brush na pencil
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app