Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Hahahhahha si kwa uchoraji huo tena unacopy. Mimi najua kuchora shida ipo hapo kwenye kuchanganya rangi.

Niliwahi kuwa mchoraji bora miaka ile ya ya mwanzo ya 1990. Nikiwa na soma pale Moshi technical Sec School. Mashindani yaliandaliwa na Bonite Bottlers ltd. Ajabu nikazawadiwa creat 1 ya soda na tshirt. Ilikuwa imeandikwa U have acoke u have smile.

Naweza kuchora sura za aina tofauti. Sura ya mtu mwenye hofu, Mtu aliyechoka, mwenye furaha na mtu katili.
Kesho ntakuwekea hapa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…