hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Huyo olumide ...ni geniushuo mkono wa huyo olumide kwakweli sio wa nchi hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo olumide ...ni geniushuo mkono wa huyo olumide kwakweli sio wa nchi hii..
Aise '' kama picture halisi
Haha
So sadWachoraji Tanzania tunaangushwa na wazazi,walezi,ndugu na jamaaa,wengi wanaona kama kuchora sio taaluma,wakati makampuni yanaajiri wachoraji ili kubuni mabodi ya magari,bidhaa na vitu vingine.
Jamaa nomaAise '' kama picture halisi
Paul J ArtView attachment 1086608
DuhhHatari!!!!View attachment 1084837
Kumbe kuna pencil maalum ....now ndio naelewa sasaKuchora bwana upate pencil zake zile asee cjui gharama huwa ni kiasi gani?
Nzuri sanaaaaa
Ni kweli Ila kuna sura ya mijitu inatazamanaUmeona Nini? Mimi nimeona mwanaume anapiga gitaa upande wa pili mwanamke ameshika kofiaView attachment 1088258
Babu na Bibi wanatazamanaNi kweli Ila kuna sura ya mijitu inatazamana
3D si kitu fulano kinachofanya kazi!Hivi hiyo 3d intumika vipi ..mpaka inaweza kutoa picture Kama kitu halisi kiasi hiki
Picha ni nzuri hongera sana unaweza ila ktk hizo picha kuna moja imeharibu zote usingeiweka
Ukiweza kufanya kama hivi beach unaingiza kipato
Kabisa!!!Ukiweza kufanya kama hivi beach unaingiza kipato
Amazing talent
Waris Kareem , 11 yrs old from NigeriaView attachment 1089247View attachment 1089248View attachment 1089249