Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Umeona Nini? Mimi nimeona mwanaume anapiga gitaa upande wa pili mwanamke ameshika kofia
FB_IMG_15569862044591291.jpeg
 
Hivi hiyo 3d intumika vipi ..mpaka inaweza kutoa picture Kama kitu halisi kiasi hiki
3D si kitu fulano kinachofanya kazi!

3D ni jinsi picha inavyoonekana,
Yaan inaonekana pande tatu..
Mfano picha ya passport inaonekana mbele tu hivyo hiyo sio 3D,

3D ni mfano wa picha ya mtu anaonekana kiupande yaan uso, sikio moja, utosi n. K

Hivo ni jinsi ya kuchora tu.
 
Back
Top Bottom