Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Hivi hiyo 3d intumika vipi ..mpaka inaweza kutoa picture Kama kitu halisi kiasi hiki
3D si kitu fulano kinachofanya kazi!

3D ni jinsi picha inavyoonekana,
Yaan inaonekana pande tatu..
Mfano picha ya passport inaonekana mbele tu hivyo hiyo sio 3D,

3D ni mfano wa picha ya mtu anaonekana kiupande yaan uso, sikio moja, utosi n. K

Hivo ni jinsi ya kuchora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…