Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kazi nzuri
Njoo @dominicmalisawa pale insta View attachment 1285942
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo @dominicmalisawa pale insta View attachment 1285942
Njoo @dominicmalisawa pale insta View attachment 1285942
mh apa kunaugomvi utatokea baadae..🏃🏃
I hope usha kuwa mtakatifu na huna dhambi kabisa.Niliwahi kutokea mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya uchoraji ya watoto ya dunia.nikapata medali na vitu vingine lakini ..
Wazazi na hata walimu hawakukubali offer niliyopewa kwenda kusoma Japan miaka mitatu...
Kisa wale ni makafiri ..watanikengeusha! Jamii nzima iliungana kupiga vita...matokeo sikwenda na wala sikuendelezwa tena.Ila toka ndani ya moyo wangu napenda mno kuchora...ni basi tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mazingira yalikuwa magumuMichoro iliyo sifika ni kuwa :
Wao ni watu wa kwanza kubadili sanaa ya uchoraji kutoka 2D kuwa 3D,
Pia mazingira yao ya uchoraji yakkua magumu lakini walitoa vitu vikubwa,
Mfano rangi na brashi za kucholea...
Mfano wali design majengo n.k
Lakini kiukweli sasa watu wanachora hatari ila tayari ULIMWENGU ni rahisi,
Kuna rangi
Vifaa vya kisasa,
N. K
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya kazi zangu,
Anaehitaji picha bora za kuchora tuwasilianeView attachment 1370615
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya kazi zangu,
Anaehitaji picha bora za kuchora tuwasilianeView attachment 1370615
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera kwa kuwa na kipaji cha uchorajiMoja ya kazi zangu,
Anaehitaji picha bora za kuchora tuwasilianeView attachment 1370615
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya kazi zangu,
Anaehitaji picha bora za kuchora tuwasilianeView attachment 1370615
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni Obed mwenyewe huyo. Kwa sasa nadhani yuko busy na kitabu huku akiendelea na kazi ya uchoraji.Nikitaka niulize, ni Obed wa Mwanza! Huyu jomba ni hatari kupita maelezo. Kachora sana Salon za Mwanza miaka ya 90, na anavyoanza ka masikhara tu, ndo anamaliza hivyo
ExcellentMoja ya kazi zangu,
Anaehitaji picha bora za kuchora tuwasilianeView attachment 1370615
Sent using Jamii Forums mobile app