Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Niliwahi kutokea mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya uchoraji ya watoto ya dunia.nikapata medali na vitu vingine lakini ..
Wazazi na hata walimu hawakukubali offer niliyopewa kwenda kusoma Japan miaka mitatu...
Kisa wale ni makafiri ..watanikengeusha! Jamii nzima iliungana kupiga vita...matokeo sikwenda na wala sikuendelezwa tena.Ila toka ndani ya moyo wangu napenda mno kuchora...ni basi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
I hope usha kuwa mtakatifu na huna dhambi kabisa.

Walikuharibia future hao wahafidhina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michoro iliyo sifika ni kuwa :

Wao ni watu wa kwanza kubadili sanaa ya uchoraji kutoka 2D kuwa 3D,
Pia mazingira yao ya uchoraji yakkua magumu lakini walitoa vitu vikubwa,
Mfano rangi na brashi za kucholea...

Mfano wali design majengo n.k

Lakini kiukweli sasa watu wanachora hatari ila tayari ULIMWENGU ni rahisi,
Kuna rangi
Vifaa vya kisasa,
N. K

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mazingira yalikuwa magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umerudi hewani
IMG-20191219-WA0058.jpeg
IMG-20191218-WA0029.jpeg
IMG-20191218-WA0001.jpeg
IMG-20191214-WA0006.jpeg
IMG-20191202-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikitaka niulize, ni Obed wa Mwanza! Huyu jomba ni hatari kupita maelezo. Kachora sana Salon za Mwanza miaka ya 90, na anavyoanza ka masikhara tu, ndo anamaliza hivyo
Yah ni Obed mwenyewe huyo. Kwa sasa nadhani yuko busy na kitabu huku akiendelea na kazi ya uchoraji.
 
Back
Top Bottom