Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

ni wazo zuri sana mkuu
 
Mods wekeni hii comment juu kabisa
 
Hebu nipe ndio ipi hio?
Iko hivi wachoraji huwa wanahudhuria darasa kama tution kabisa.
Mfano dar es Salaam kuna sehem panaitwa mwembeyanga..!
Kuna Organisation inaitwa FASDO (check Instagram yao)
Wanatoa mafunzo bure mara tatu kwa week.
Atafundishwa A to Z kuhusu uchoraji...!
Jinsi ya kutumia aina mbali mbali za penseli (sio zile za kawaida)
Hiyo penseli inachora hadi unadhan ni picha za camera..!
....
Kama ambavo naona ni mtoto bado pengine ratiba itakua ngumu
 
Ok.

Yeye yupo shule anaanza advance sasa....muda itakua issue inabidi mpk kumaliza.

Nina nia hasa ya kumuendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…