Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Nikiwa bado mdogo primary na mwanzoni mwa maisha ya sekondari uchoraji ndo ilikua hobby yangu, nilianza taratibu kuacha kuchora na mpaka sasa nimeshakuwa mzito. Natamani sana ningepata mahali wanapotoa mafunzo ya uchoraji ili angalau niamshe kipaji changu kilichozima

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehem ipo mwembe yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa
InShot_20190331_143833729.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna vingi vinaangaliwa asee, hada ile michanganyiko ya rangi ni pure, hii ya pencil si sketch tu ya kawaida, cheki wa monalisa angalia vizuri zile rangi
New monalisa?

Hivi michoro ya kina da vinch inayosifika Ni ipi? Mbona sioni upekee was hiyo michoro yao? Maana vijana wa Sasa wanachora balaa

Sent by anonymous user
 
Msaada wakuu anaejua kuchora kwa computer au Kuna Mtu unamfahamu mnisaidie tafadhali.
 
Back
Top Bottom