Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,554
[emoji1][emoji1][emoji1]Huyu mama anaweza kuchora hata xray yake au mri au ct scan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]Huyu mama anaweza kuchora hata xray yake au mri au ct scan
Hapo Sasa!!Si tunakwama wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke was miaka 40 ambaye amepooza kwa miaka 30 lakini anajiingizia kipato kwa kuchora anaishi katika mji was Taiyuan Jimbo la ShanxiView attachment 1083407View attachment 1083408View attachment 1083409View attachment 1083410View attachment 1083411View attachment 1083412
Beautiful jamani[emoji3526]Beautiful painting!!!![emoji106]View attachment 1082747
AmenAsante Mungu kwa msanii huyu
Yaan Hadi kikapu[emoji1][emoji1]Beautiful jamani[emoji3526]
Yaani hii imechorwa????aisee
Hadi kivuli Cha kikapu kilichotundikwa hapo juu
Umechora wewe ???Yaan Hadi kikapu[emoji1][emoji1]
Kujichora si jambo dogo,Daaaaaah wish ningekuwa na kipaji cha kuchora nijichore..
Kwàn mkuu kuna ugumu gani ..si unachukua picha yako tu halafu unachora kama picha zingne..Kujichora si jambo dogo,
Mimi kipaji ninacho ila kujichora nmejaribu lakini bado....
Hapana sio mimiUmechora wewe ???
Aisee...huo mng'ao wa Hilo pot hapo chini
Kwa kweli hiki Ni Zaidi ya kipaji[emoji119]
Kwàn mkuu kuna ugumu gani ..si unachukua picha yako tu halafu unachora kama picha zingne..
Au kuna ile kutaka iwe nzuri zaid ndo kukosea kunaanzia apo
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hatari!!!!View attachment 1084837
maisha yalikua mazuri sana
Na tulikua tunacheza na mchele unaweka kwenye mkono kama unafukia hv...maisha yalikua mazuri sana
Aisee .....kuna watu ni hatari