Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

90 year old artist
FB_IMG_15586968887890797.jpeg
 
Msaada Mimi unaweza kuchora picha z kubuni kichwani lakini sio kwa ustadi mzuri
Sijajua hatua gani upitie ili kuchora kwa usahihi kama wasanii wa picha wafanyavyo namba kupata maelekezo.
Katiaka vitu nilivyozaliwa navyo ni kupenda kuchora zamani nilikuwa naangalia magazeti kisha nabuni michoro kutokana na picha nilizoziona katika magazeti sasa namba maelekezo kwa wataalamu ni vipi nitaweza kuchora picha za vitu mbalimbali kwa kuangalia picha nyingine hii inanishinda sana naombeni muongozo wa kuwa mchoraji aliebobea na hatua au njia gani nipitie kufiaka mlipofika.
ASANTE.
 
Kuna madarsa ya uchoraji..!
Sa wewe upo mkoa gani?
Dsm nafahamu
Msaada Mimi unaweza kuchora picha z kubuni kichwani lakini sio kwa ustadi mzuri
Sijajua hatua gani upitie ili kuchora kwa usahihi kama wasanii wa picha wafanyavyo namba kupata maelekezo.
Katiaka vitu nilivyozaliwa navyo ni kupenda kuchora zamani nilikuwa naangalia magazeti kisha nabuni michoro kutokana na picha nilizoziona katika magazeti sasa namba maelekezo kwa wataalamu ni vipi nitaweza kuchora picha za vitu mbalimbali kwa kuangalia picha nyingine hii inanishinda sana naombeni muongozo wa kuwa mchoraji aliebobea na hatua au njia gani nipitie kufiaka mlipofika.
ASANTE.
 
Sasa mimi Nipo Arusha nilikuwa nataka za biashara sasa ntachagua vip
Jaribu kumpigia uongee nae,na umueleze una shida ya kuona sample,ana vijana ambao wanaweza kumsaidia kukutumia maana kila picha anayochora hua lazima apige picha kwa kamera kwa ajili kumbukumbu
 
Back
Top Bottom