Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kila la kheri wenye ndoa.

Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.

Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....

😂😂🙄 nakutamania kwakweli
 
😂😂🙄 nakutamania kwakweli

Sikudolishii ila ..... Dadii ni zaidi ya treasure.....

Jana nimemuomba, Dadii naomba niimbie wimbo unibembeleze..... weeeh

Nikashushiwa verses hizoo na vocal sasa......

Nna raha mie acha tuu niweke nyuzi za Mahaba kila leo, kila siku Mahaba mapya.

Nampenda sana Dadii wangu katu simuachi asilani.

Mabusu tele tele kwake.
 
[emoji17][emoji15]kuna ndoa za aina mbili za kiroho na za makaratasi... Zote zinabaki kuwa ndoa

Jr[emoji769]

Zamani nalikua naamini hili sana kwamba kama umeoa mtu sio bikira umeoa mke wa mtu kwa kua Mungu anaamini sana agano la damu na ndio maana hata zamani huko Israel akikutwa mtu sio bikira wakati wa ndoa adhabu ilikua ni kupigwa mawe tu mpaka afe, ila hayoooooooooooooooooo yooooooote yalishaisha baada ya ujio wa YESU KRISTO akafanyika Kafara ya kweli kwa kumwaga damu yake ya thamani ko habari za ubikira na kuoa bikira ili agano la damu lifanyike hilipo TENA
 
Sikudolishii ila ..... Dadii ni zaidi ya treasure.....

Jana nimemuomba, Dadii naomba niimbie wimbo unibembeleze..... weeeh

Nikashushiwa verses hizoo na vocal sasa......

Nna raha mie acha tuu niweke nyuzi za Mahaba kila leo, kila siku Mahaba mapya.

Nampenda sana Dadii wangu katu simuachi asilani.

Mabusu tele tele kwake.
Kasie bana, seems una raha sana
 
Funguka kwenye ndoa yako iliyoumizwa na kujeruhiwa sana, iliyotiwa vidonda na makovu ya kila aina
Ya usaliti
Ya kuchapiwa
Ya kusingiziwa
Ya kunenewa mabaya
Ya kudharauliwa kutukanwa na kudhalilishwa
Funguka upate nafuu
Funguka upate faraja
Funguka upunguze sumu mwilini
Funguka upate kupona sasa....
Karibuni wanandoa wote

Nikioa mke afanye yooote ila sio Kuchepuka, akipigwa nje au uhusiano usioeleweka na mtu namuonya kwa upole akizingua atapata kipigo tu na kurudishwa kwao.
 
Sikudolishii ila ..... Dadii ni zaidi ya treasure.....

Jana nimemuomba, Dadii naomba niimbie wimbo unibembeleze..... weeeh

Nikashushiwa verses hizoo na vocal sasa......

Nna raha mie acha tuu niweke nyuzi za Mahaba kila leo, kila siku Mahaba mapya.

Nampenda sana Dadii wangu katu simuachi asilani.

Mabusu tele tele kwake.

asante sana dadii huko ulipo..uliwakilishe vyema kabila lako😂😂💪👍
 
Yaani najizuia kusema mengi ila najikuta tuu nshaweka uzi.....

Mahaba ni kitu kingine kabisa....

Najua sad moments zipo ila, utamu, furaha, upendo, amani, raha yaani it’s more than being crazy drunk in love....

Kasie wa Dadii.
Hongera sana. Ngoja sie tupambane na jela yetu ya kujitakia
 
Back
Top Bottom