Mada maalum kwa wanandoa

Lakini mlikuwa mnaumia sio?!
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama kuishi bila furaha na amani!
Kuna kusameheana na kuvumilia lakini isiwe ni upande mmoja unaumia! We unasema hivyo lakinii ukweli unaujua
Ujue furaha na amani vitakuja tu after sometime wakikaa under same roof, hivi walivyo ndo hawana kabisa furaha na amani

Bidada unamsikia mwenyewe anavoeleza hali yake, na anavoeleza hali ya mumewe.

Btw, wataalam wa mambo ya mahusiano wanakwambia, wanandoa wote walioachana, ni 2% ndo walipata furaha baada ya kuachana, the rest ni majanga plus stress all the time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukitaka umalize shida zooote ndio uspendi inawezekana kweli? witnessj tukubaliane tu wengi wetu na hata wewe sometime (na inawezekana most of the time) unajitoa ufahamu na kuspendi hata kama gari inahitaji matairi. life is too short...

Mkuu huu ni ukweli mtupu, eti kwa sababu sina bima(hata ya sedi pati)ndiyo niwe mnyonge hata bia mbili nisinywe kisa bima,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hili tatizo lako linatokana na kumdekeza mkeo
 
Hiyo same roof wamekaa miaka ngapi na wameshindwa kuitengeneza hiyo amani na furaha?!
Mpaka mmoja aamue kujipa nafasi means huko ndani hapafai, na kila mmoja anaumia kivyake!
Dada anaumia sababu ya watoto, yule shemeji naye anaumia sababu zake anazijua!
Kuna kuvumilia mkuu, na kuna kusameheana pia! Ila jua kuwa moyo ukifika mwisho akili haitaweza kuamua! Ni moyo tuu
 
Tatizo ndoa za leo, watu wakishaoana ndo wanaanza kuchunguzana tabia, vijana watabaki bila furaha, Mwanamke anataka maisha yale ya kupelekwa kula mishikaki na chips yawe ya kila uchwao, mwanaume nae anataka awe na amri kwa mkewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha hahaha
Naona hilo limekuingia! Sasa nijibu, wewe mwenyewe mie sio mumeo ila nikiuchuna siku moja unahaha kama niniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watajua hawajui ila nimekuelewa sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…