Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Lakini mlikuwa mnaumia sio?!Wakati mwingine inawasaidia watoto kukua wakijifunza tabia mbaya na nzuri kwa wazazi. Mf mm baba yangu alikuwa mkorofi sana kwa mama na hata watoto, sikuhiz na uzee wake hataki hata kusikia mkimkumbusha ubabe wake na hapendi kukumbuka. Ila sisi watoto wake tumejifunza sana kwa yale maisha ndo maana hata wake zetu watuwapigi ingawa wanatuogopa kwa kusikiliza historia ya mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app