Mada maalum kwa wanandoa

Sasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
Ukimpa ushirikiano atapendeza jinsi unavyotaka
 
Exactly...
 
Ha ha ha ha ha,ukimpa ushirikiano atakuelewa
 

Wanawake bhana, kabla hujamuoa yani atabinuka mpaka sarakasi ili mradi tu ufurahi, utapewa kila mara mpaka igeuke kero, oa sasa kudadeki kwani wanajiona kuwa kama ni kukunyakua ndiyo ushanyakuliwa so abinuke sarakasi za nini ...., kwani anashindana na nani tena. Hapo ndiyo ishu za kupewa kwa ratiba zinaanza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu Sakayo hayuko ndoani ndo maana anachukulia rahisi, mwenyewe ana theories zake hapo kichwani anadhani maisha ya ndoa ni sawa na ya girlfriend- boyfriend

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe
Niko ndoani mwaka wa kumi huu! Huwa naamini kile moyo wangu unachoniambia! Amani yangu na watoto wangu kwanzaaa kama Mungu akinijaalia watoto!
 
Huyu Sakayo hayuko ndoani ndo maana anachukulia rahisi, mwenyewe ana theories zake hapo kichwani anadhani maisha ya ndoa ni sawa na ya girlfriend- boyfriend

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm namuombea sana aolewe haraka sana haya ya kugombana na kuondoka mbona sisi kwetu wanawake kawaida tu mwisho wa siku mnayamaliza mnarudi kama zamani.

Haya anayopitia manengelo ni mapito tu na yatapita na atarudi kuishi na mumewe kama zamani na kulea watoto wao vizuri.
 
Sasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
We mkeo ananenepa hovyo unamwona tu unashindwa kumshinikiza afanye mazoezi na kula vyakula visivyo na Wanga na faty nyingi. Mambo mengine tusiwasingizie wanawake tu we sema unapenda totozi ukikaa bar au mahali pa starehe upige miluzi vibinti vije.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mie namuombea yaishe aishi kwa amani na furaha!
Shida ni kwamba inaonekana shida ni kubwa, kwani wangapi mnakosea na kusameheana eti?!
 
Sio wote bwana watu tupo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu kugombana kupo lakini sio mwanamke kuwa na sauti kwa mumewe

Mkuu wewe mkeo amekupanda kichwani mkeo ana sauti kuliko wewe na hiki ulikosea toka mwanzo mlivyoanzana

Mwanaume anatakiwa awe na sauti akiongea mara moja harudii baba kaongea kwenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…