Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

So unamaanisha watarget mmoja kama vile simba akiwa anawinda swala mmoja kwenye kundi la swala?[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahah yah mkuu!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hajawahi kunikwaza kwakweli. Mara nyingi huwa nawahi kurudi nyumbani ili kumsaidia kukata vitunguu na kutengeneza juice.

Pepo la ulabu likinizidi nguvu huwa nampigia simu tukutane panapostahili.... Yeye anagida wine mi nagonga K Vant. Tukirudi home hapo ni vikojoleo vinasemezana tu.
hahaaa, safi sana hapo mwisho sasa ulivomalizia vinini vinasemezana duuh wewe ni Babu kijanaaa
 
Kuna wanawake hata ukiongea na ukamtia vibao hasikii kuna wanawake walilelewa hovyo sana.
Sio wote bwana watu tupo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu kugombana kupo lakini sio mwanamke kuwa na sauti kwa mumewe

Mkuu wewe mkeo amekupanda kichwani mkeo ana sauti kuliko wewe na hiki ulikosea toka mwanzo mlivyoanzana

Mwanaume anatakiwa awe na sauti akiongea mara moja harudii baba kaongea kwenye nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajawahi kunikwaza kwakweli. Mara nyingi huwa nawahi kurudi nyumbani ili kumsaidia kukata vitunguu na kutengeneza juice.

Pepo la ulabu likinizidi nguvu huwa nampigia simu tukutane panapostahili.... Yeye anagida wine mi nagonga K Vant. Tukirudi home hapo ni vikojoleo vinasemezana tu.
hahaaa, safi sana hapo mwisho sasa ulivomalizia vinini vinasemezana duuh wewe ni Babu kijanaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Nimeandikaje eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Ambao hamjaingia kwenye ndoa sasa hivi unamwambia mito upo mwaka wa 10 kwenye ndoa mito atakuwa amecheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niko sehemu nasubiri mida isonge nirejee home sasa nimejikuta nacheka kwa sauti mpaka watu wameshangaa,
“Mimi nakaribia kukata kamba mda wowote”
Japo si mazuri lakini dah nimecheka sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo shetani mshindeni jamani ebu badilika kuanzia sasa ebu kuwa na sauti utaona atakavyokuwa mpole simama kama mwanaume
 
Mm namuombea sana aolewe haraka sana haya ya kugombana na kuondoka mbona sisi kwetu wanawake kawaida tu mwisho wa siku mnayamaliza mnarudi kama zamani.

Haya anayopitia manengelo ni mapito tu na yatapita na atarudi kuishi na mumewe kama zamani na kulea watoto wao vizuri.

😂😂😂😂 yaan siku fqmilia yangu wakisikia nimerudi🤔...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria😂😂ht kesi yenyew haikifika mahakamn...nimeficha sijawaambia kuwa tumeishia kwa mpelrlzi tu...!yaan kifupi wanajua mm ndo sirudi tena..naogopa ht kuona simu zao...hv wanataka nirudi nyumban nijipange upyaaa...naogopa kuwapa mrejesho..hapa laana nainusa kwao👎😢😢😢..!huyu wangu hawez badilika ndo tabia yake tu yaan...yaan akiona sehem napata kahela anaenda kulianzisha😂😂alafu hapo hapo anakuambia nikope bas ht laki 1😂😂😂😂👎👎👎..babu ww ninechoka...nataka nijioe mwenyew nijitunze mwenyewe...mie nimeoa sijaolewa...nimejichokea..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Ambao hamjaingia kwenye ndoa sasa hivi unamwambia mito upo mwaka wa 10 kwenye ndoa mito atakuwa amecheka sana
Hebu hukooo

Halafu meshtukaa, haiwezekani kila mtu anaiponda ndoa humu! Msinitishee nawolewaa na nitaishi kwa amani na furaha kwa jina la Yesu.... Mnataka mpate mautamu nyie tuu eeehh
 
Back
Top Bottom