No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Ndio hivyo bro...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo bro...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Ukimpa ushirikiano atapendeza jinsi unavyotakaSasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
Exactly...Ujue furaha na amani vitakuja tu after sometime wakikaa under same roof, hivi walivyo ndo hawana kabisa furaha na amani
Bidada unamsikia mwenyewe anavoeleza hali yake, na anavoeleza hali ya mumewe.
Btw, wataalam wa mambo ya mahusiano wanakwambia, wanandoa wote walioachana, ni 2% ndo walipata furaha baada ya kuachana, the rest ni majanga plus stress all the time
Sent using Jamii Forums mobile app
We toa macho tuu
Huyu Sakayo hayuko ndoani ndo maana anachukulia rahisi, mwenyewe ana theories zake hapo kichwani anadhani maisha ya ndoa ni sawa na ya girlfriend- boyfriendKwahiyo we unakubali waachane mama angu
Ha ha ha ha ha,ukimpa ushirikiano atakuelewaMimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wacha mi niendelee kufunguka,
Huyu wangu kuna kipindi alikuwa ananipangia mpaka kunipa tendo la ndoa, nikamwambia "MI HUWA SIPANGIWI KAMA HUTAKI NATAFUTA MWANAMKE MWINGINE"
Akanijibu, "TAFUTA"
Nikamwambia,,"ILI NITAFUTE MKE MWINGINE WEWE NI LAZIMA UONDOKE HUMU NDANI MAANA MI NIMEOA ILI KUIKWEPA ZINAA HIVYO SIWEZI KUZINI HUKU NINA MKE WA NDOA"
Akakaa kimya hakujibu kitu
EeeehhhAmeshasema hana imani na maombi nimemsoma huko juu maombi gani yatafanya kazi hana imani nayo ajilewee tuuu
Hilo swali achana nalo Sakayo, mambo hayako hivyoUnasema tuu wewe!..
Nimekuuliza ushawahi kaa siku moja bila amani mkuu???
WeweHuyu Sakayo hayuko ndoani ndo maana anachukulia rahisi, mwenyewe ana theories zake hapo kichwani anadhani maisha ya ndoa ni sawa na ya girlfriend- boyfriend
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapoje eti
Mm namuombea sana aolewe haraka sana haya ya kugombana na kuondoka mbona sisi kwetu wanawake kawaida tu mwisho wa siku mnayamaliza mnarudi kama zamani.Huyu Sakayo hayuko ndoani ndo maana anachukulia rahisi, mwenyewe ana theories zake hapo kichwani anadhani maisha ya ndoa ni sawa na ya girlfriend- boyfriend
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkeo ananenepa hovyo unamwona tu unashindwa kumshinikiza afanye mazoezi na kula vyakula visivyo na Wanga na faty nyingi. Mambo mengine tusiwasingizie wanawake tu we sema unapenda totozi ukikaa bar au mahali pa starehe upige miluzi vibinti vije.Sasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
Kazia uongo tuu...Exactly...
Na mie namuombea yaishe aishi kwa amani na furaha!Mm namuombea sana single haraka sana haya ya kugombana na kuondoka mbona sisi kwetu wanawake kawaida tu mwisho wa siku mnayamaliza mnarudi kama zamani.
Haya anayopitia manengelo ni mapito tu na yatapita na atarudi kuishi na mumewe kama zamani na kulea watoto wao vizuri.
Sio wote bwana watu tupo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu kugombana kupo lakini sio mwanamke kuwa na sauti kwa mumeweWanawake bhana, kabla hujamuoa yani atabinuka mpaka sarakasi ili mradi tu ufurahi, utapewa kila mara mpaka igeuke kero, oa sasa kudadeki kwani wanajiona kuwa kama ni kukunyakua ndiyo ushanyakuliwa so abinuke sarakasi za nini ...., kwani anashindana na nani tena. Hapo ndiyo ishu za kupewa kwa ratiba zinaanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee hatuchekani,..mimi nakaribia kukata kamba mda wowoteMkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndioooo amesema juu huko maombi gani yatakayomsaidiaEeeehhh