Hahah yah mkuu!So unamaanisha watarget mmoja kama vile simba akiwa anawinda swala mmoja kwenye kundi la swala?[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiko ndio ulichokosea mkuu mwanamke hatakiwi kukupanda mumewe eti yeye ndio ana sauti kuliko babaUko sahihi, nilichogundua demokrasia ndani ya nyumba ni chanzo cha matatizo
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mapito ni mengi mimi nayabeba yangu ntafika tuu
hahaaa, safi sana hapo mwisho sasa ulivomalizia vinini vinasemezana duuh wewe ni Babu kijanaaaHajawahi kunikwaza kwakweli. Mara nyingi huwa nawahi kurudi nyumbani ili kumsaidia kukata vitunguu na kutengeneza juice.
Pepo la ulabu likinizidi nguvu huwa nampigia simu tukutane panapostahili.... Yeye anagida wine mi nagonga K Vant. Tukirudi home hapo ni vikojoleo vinasemezana tu.
Sio wote bwana watu tupo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu kugombana kupo lakini sio mwanamke kuwa na sauti kwa mumewe
Mkuu wewe mkeo amekupanda kichwani mkeo ana sauti kuliko wewe na hiki ulikosea toka mwanzo mlivyoanzana
Mwanaume anatakiwa awe na sauti akiongea mara moja harudii baba kaongea kwenye nyumba
hahaaa, safi sana hapo mwisho sasa ulivomalizia vinini vinasemezana duuh wewe ni Babu kijanaaaHajawahi kunikwaza kwakweli. Mara nyingi huwa nawahi kurudi nyumbani ili kumsaidia kukata vitunguu na kutengeneza juice.
Pepo la ulabu likinizidi nguvu huwa nampigia simu tukutane panapostahili.... Yeye anagida wine mi nagonga K Vant. Tukirudi home hapo ni vikojoleo vinasemezana tu.
Eeenh uko wapi nije halafu zawadi gani kwanza
Umegundua ananyumba ndogo?Jamani mapito ni mengi mimi nayabeba yangu ntafika tuu
Huyo shetani mshindeni jamani ebu badilika kuanzia sasa ebu kuwa na sauti utaona atakavyokuwa mpole simama kama mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niko sehemu nasubiri mida isonge nirejee home sasa nimejikuta nacheka kwa sauti mpaka watu wameshangaa,
โMimi nakaribia kukata kamba mda wowoteโ
Japo si mazuri lakini dah nimecheka sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbinguni shoga angu๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafika wapi eti
Mm namuombea sana aolewe haraka sana haya ya kugombana na kuondoka mbona sisi kwetu wanawake kawaida tu mwisho wa siku mnayamaliza mnarudi kama zamani.
Haya anayopitia manengelo ni mapito tu na yatapita na atarudi kuishi na mumewe kama zamani na kulea watoto wao vizuri.
AmeeeenJamani mapito ni mengi mimi nayabeba yangu ntafika tuu
Nop
Hebu hukooo
Hahahhaha ebu baki ukoNgoja niondoke tuu mimi!
Ndoa ukitaka iwe ngumu itakuwa tuu!
Nimecheka mnooo ujueMbinguni shoga angu๐๐
[emoji2955]Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Hapo tunarudi palepale kua ulimlea hivyo toka mnaanzana ulijifanya kumnyenyekea sanaKuna wanawake hata ukiongea na ukamtia vibao hasikii kuna wanawake walilelewa hovyo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app