Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Yaani huko PM ndio mnakuwa mnafanya nini??[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Kuna fursa hapa sibanduki
Siamini haya!πππ nakutamania kwakweli
πππ nakutamania kwakweli
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hapana
[emoji17][emoji15]kuna ndoa za aina mbili za kiroho na za makaratasi... Zote zinabaki kuwa ndoa
Jr[emoji769]
Wanafarijiana etiYaani huko PM ndio mnakuwa mnafanya nini??
Kasie bana, seems una raha sanaSikudolishii ila ..... Dadii ni zaidi ya treasure.....
Jana nimemuomba, Dadii naomba niimbie wimbo unibembeleze..... weeeh
Nikashushiwa verses hizoo na vocal sasa......
Nna raha mie acha tuu niweke nyuzi za Mahaba kila leo, kila siku Mahaba mapya.
Nampenda sana Dadii wangu katu simuachi asilani.
Mabusu tele tele kwake.
Funguka kwenye ndoa yako iliyoumizwa na kujeruhiwa sana, iliyotiwa vidonda na makovu ya kila aina
Ya usaliti
Ya kuchapiwa
Ya kusingiziwa
Ya kunenewa mabaya
Ya kudharauliwa kutukanwa na kudhalilishwa
Funguka upate nafuu
Funguka upate faraja
Funguka upunguze sumu mwilini
Funguka upate kupona sasa....
Karibuni wanandoa wote
[emoji22]Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Sikudolishii ila ..... Dadii ni zaidi ya treasure.....
Jana nimemuomba, Dadii naomba niimbie wimbo unibembeleze..... weeeh
Nikashushiwa verses hizoo na vocal sasa......
Nna raha mie acha tuu niweke nyuzi za Mahaba kila leo, kila siku Mahaba mapya.
Nampenda sana Dadii wangu katu simuachi asilani.
Mabusu tele tele kwake.
[emoji22]
Kasie bana, seems una raha sana
Ni mapito. Utakuja ku-sleep like a babyhv ndo naingia bed nijaribu kulala..had kichwa kinauma[emoji23][emoji23] ...!
Siamini haya!
Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
hv ndo naingia bed nijaribu kulala..had kichwa kinauma[emoji23][emoji23] ...!
Hongera sana. Ngoja sie tupambane na jela yetu ya kujitakiaYaani najizuia kusema mengi ila najikuta tuu nshaweka uzi.....
Mahaba ni kitu kingine kabisa....
Najua sad moments zipo ila, utamu, furaha, upendo, amani, raha yaani itβs more than being crazy drunk in love....
Kasie wa Dadii.
Yaani najizuia kusema mengi ila najikuta tuu nshaweka uzi.....
Mahaba ni kitu kingine kabisa....
Najua sad moments zipo ila, utamu, furaha, upendo, amani, raha yaani itβs more than being crazy drunk in love....
Kasie wa Dadii.