Mada maalum kwa wanandoa

Alafu hii huwa naisikia kwa wsnawake wengi waloolewa na wanaume ambao hawakuwalilia shida.

My dear mievnina shida hadi kwenye kope hivyo silazi damu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakujuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..mm nimechoka..nw natambua haki zangu ss ndo anTumia misuli yake kuniadhibu..hapana..
 
Ndio hivyo, we jitie tu wife material ukakopwe ndoani ndio utafurahi. Jitu halijiongezibumetulia nayo tu[emoji134][emoji134][emoji134]

Jiandae kwa makuu yakustajabisha.
Yewiiii eeeehhh....
Nifundishe kuomba hela hebu auntie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…