Mada maalum kwa wanandoa

Jamani mane

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumiaπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jamanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi😒... !
 
Em usiongee sana hapa mane, ukipata kamuda uje tu pm tubonge. Kuachana sio rahisi kama tunavyoandika humu.

 
We utaweza kweli jembe langu? Si kwa huruma hiyo uliyonayo [emoji23]. Nakuelewa lakini mane wangu
 
We utaweza kweli jembe langu? Si kwa huruma hiyo uliyonayo [emoji23]. Nakuelewa lakini mane wangu


demi jana sijalala..hahaa had saa6 ananitxt..anatia huruma...anaomba msamaha tu...anapiga simu ila sirudi demi...sema watoto wananifanya nilie kweli kweli..πŸ˜‚πŸ˜‚nikitoboa nitakupitisha nilipopitaπŸ˜‚πŸ˜‚..shoga kuna ugumu..alafu naambiwa eti ww hyo age huez kaa alone lazima utaolewa tenaπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘napata kichefuchefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…