watambi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 332
- 265
Hapa navuta muda bar ya Jirani yani nicoment nisicoment moto lazima uwakeHahahahahahahaha ina maana unayotaka kuyaandika hatafurahia kuyasoma, lakini kishakupata hivyo kaa tayari tayari kuulizwa kuhusu kushindwa kwako kuchangia maana yangekuwa ni mazuri basi ungetiririka.
Sent using Jamii Forums mobile app