Mama mzazi kama kasema hivoo daaah!...atakuwa kaona jamaa tia maji asee[emoji849][emoji849][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba kasie amefeli maisha..tuna stereotype ya ajabu sana...bas mm pia mzaz wangu aliniambia hv!:
manengelo sio ww wakwnza kuondoka ndoani..inawezekana kbs ukikaa alone utafanya mambo ya maana..mradi akili yako iwe smart..be smart..acha mawazo ya kuolewa tena...simama ww km ww..acha anasa..utapig hatua kubwa sana..nTak niyaishi hayo
Niache kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Nakupenda eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushakunywa Kungfu nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa nini lakini unakifanyia hivi
Hahaha yaaani kawa mdogooo
Mama mzazi kama kasema hivoo daaah!...atakuwa kaona jamaa tia maji asee[emoji849][emoji849][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayekujaHahahahahaha siyo na hao wanaokuja kwenye PM yako?
Nimeanza kukuelewa kutokana na jinsi ulivyokuwa unareplyWe cheka tuu dadake mimi. Hakuna mtu anyejua kuvumilia kama mwanamke! Ukiona kaamua kuondoka jua amefika mwisho kabisaaa! Sasa mama muinjili haelewi hilo
Ewaaaaa
Unanigeuka?Hahaha hahaha hahaha
Umeanza uongo au hutaki kunipa hiyo laki
Sijaliwa bali tumekulana... muda si mrefu tunajifungua mtoto wetu wa kikeUmeliwa babu
Eeeehhh
Nilimaanisha bombardier.... sio kila kitu lazima ukijue...Kheee uber uko mkoani hakuna
Miaka miwili ya furaha mitano ya karacha, chungu na makorokocho yoteee, moyo ulikufa ganzi hadi leo, kiukweli ndoa yahitaji moyo, niliamua kujitoa, na kibaya zaidi nliolewa na umri mdogo aiseee hapana,sina hamu wacha nibaki na niliye nae wa kupunguziana nanihii tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe uje na kiingilio
Kiingilio ni pesa ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe uje na kiingilio
Umenikumbusha Joy...mdada yule nilimuonea imani jamani daah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au unakuwa Joyce kiria unayamwaga tu hadharani