Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba kasie amefeli maisha..tuna stereotype ya ajabu sana...bas mm pia mzaz wangu aliniambia hv!:
manengelo sio ww wakwnza kuondoka ndoani..inawezekana kbs ukikaa alone utafanya mambo ya maana..mradi akili yako iwe smart..be smart..acha mawazo ya kuolewa tena...simama ww km ww..acha anasa..utapig hatua kubwa sana..nTak niyaishi hayo
Mama mzazi kama kasema hivoo daaah!...atakuwa kaona jamaa tia maji asee[emoji849][emoji849][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupunguza UGWADU 😎 😎

Miaka miwili ya furaha mitano ya karacha, chungu na makorokocho yoteee, moyo ulikufa ganzi hadi leo, kiukweli ndoa yahitaji moyo, niliamua kujitoa, na kibaya zaidi nliolewa na umri mdogo aiseee hapana,sina hamu wacha nibaki na niliye nae wa kupunguziana nanihii tu
 
Back
Top Bottom