Uko kama mimi[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume jamani sijui kwanini hamuonei uchungu hela kwenye masanga...huyo dada ana tabia kama zangu yaani outing nzima naipigia mahesabu matokeo narud nyumbani na mawazo badala ya raha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukomeeeeee
Ukisema umeolewa nitasikitika sana best[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23] kidding [emoji125][emoji125]Aajaaaajaaaah sasa mbona hiyo sio furaha ni karaha?[emoji2958][emoji2958][emoji849]......kama Kuna mengine mpaka umeficha seems so serious asee!
Ila kiukweli kabisa ndoa ni ngumu sio mbaya ila ni ngumu kwelikweli inabidi ukaze si kitoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli dada umechelewa nimewahiwaNakupenda bwana kwa nn unanifanyia hivi cc demi
Kwani umewowa megaMimi suala la ruhusa ya kutoka hilo halipo na halitakuwepo...sijakuoa uje kuwa mlinzi wangu na kunipangia vitu vya kufanya na kutokufanya ati nirudi home saa 1
Ni kawaida mkuu...hata hakuna la ajabu aseeFrom wife to single mom(ambao jf wanasemwa sana) - kumbukeni kuna siku nilikuwa mke halali wa mtu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijisenti tu hivyo, tatizo mpare
Hahahahahhah tena kesho jioni
Nimewaza tu mkuu...[emoji5] [emoji5] [emoji5][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Vipi mkuu?
@BAK umebaka hii story mara hii uko hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Pole sana inaelekea bado una maumivu makubwa ya kuachwa na aliyekuwa mumeo ulimpenda sana, lakini kuendelea kulia haitakusaidia bali kuendeleza majonzi yako. Pole sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti mshipa wa watu
Hiko unachotaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti mshipa wa watu
@BAK umebaka hii story mara hii uko hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Hahahahahahahaha ina maana unayotaka kuyaandika hatafurahia kuyasoma, lakini kishakupata hivyo kaa tayari tayari kuulizwa kuhusu kushindwa kwako kuchangia maana yangekuwa ni mazuri basi ungetiririka.