Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume jamani sijui kwanini hamuonei uchungu hela kwenye masanga...huyo dada ana tabia kama zangu yaani outing nzima naipigia mahesabu matokeo narud nyumbani na mawazo badala ya raha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko kama mimi[emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aajaaaajaaaah sasa mbona hiyo sio furaha ni karaha?[emoji2958][emoji2958][emoji849]......kama Kuna mengine mpaka umeficha seems so serious asee!

Ila kiukweli kabisa ndoa ni ngumu sio mbaya ila ni ngumu kwelikweli inabidi ukaze si kitoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema umeolewa nitasikitika sana best[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23] kidding [emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom