Mada maalum kwa wanandoa

Kwanini dadii asikuoe? Au ni mume wa mtu?
 
Fanya kile kinachokupa furaha maishani

Na usitarajie eti furaha kuipata kwa mtu never ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji120]
 

Akili nayo huwa inahitaji kustarehe kidogo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanini dadii asikuoe? Au ni mume wa mtu?

Dadii sio mume wa mtu, yeye ni dirvocee. Hatujawahi kuongelea ndoa sababu kwanza tunaishi nchi mbalimbali, tunakutana kipindi cha likizo na nikiwa off.

Ndoa ni uhalalisho tuu kuwa huyu mume na mke sasa wakionekana mahali wanasuguana hakuna wa kuuliza. Ila kama hatuhalalishi, haimaanishi hatupendani.

Ndoa ni kitanzi au kifungo, kama hamjafunga ndoa mnakuwa huru, ukinizingua nasepa huruu nae akiona namzingua anasepa ila tukiona tuliachana kwa hasira ila baada ya hasira kuisha mioyo inatakana, tunarejeana kwa Mahaba yote.

Macomplication hayo ndo kero tusizozitaka.

Chamuhimu tunapeana, tunaheshimiana, tunapendana upeo.
Mahaba Mia Mia.

Kasinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…