Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kwanini dadii asikuoe? Au ni mume wa mtu?Wakati niko mschana nilitamani sana ndoa... gauni jeupe.... enzi hizo ukumbi wa kifahari ni Diamond Jubelee.... nikawa nasema atayenichumbia harusi itakuwa hapa.....
Looh nilivoanza kukutana nao sasa..... makorokocho akili ikavurugika nikasema why...!!! Acha nijipende mwenyewe kwanza kisha atayenikuta mbele ya safari anipokee jinsi nilivyo.....
Siku isiyo na jina, Dadii huyu hapa....
Mahaba yakazaliwa ndo hadi leo hadi kesho, mtondo na mtondogoo....
Kwa kusema haya, sitamani ndoa nafurahia kuishi na Dadii maisha yangu yaliyobaki tukipendana kama njiwa.
Kasinde.