Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kuliko maisha ya hivyo...
Bora uishi mwenyewe asee japo ngumu

Halafu furaha inaanza na wewe mwenyewe ujue!...ukishalielewa hili unakuwa na amani ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
"Furaha inaanza na wewe mwenyewe", pointi ya msingi hii best. Huenda wengi tunakuwa na maisha magumu, hatuna furaha wala amani tukiwa single, tunatafuta ndoa ili tupate amani..wrong!!
 
Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,
Ujue ukiwa mmoja tu... akili ya me haitulii kabisa, ni vile tu hamjuagi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Furaha inaanza na wewe mwenyewe", pointi ya msingi hii best. Huenda wengi tunakuwa na maisha magumu, hatuna furaha wala amani tukiwa single, tunatafuta ndoa ili tupate amani..wrong!!
Well said...but ukibahatika mahusiano yako yakawa bien....komaa hapo hapo, coz unakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja, unafurahia maisha yako binafsi na unafurahia maisha na mwenzio, what's lucky?...yummy yummy[emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaotafuta hata mitala wanakosa mkuu. Nipongeze hebu
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Nahisi ndio maana ndoa ni mtihani pekee unaopewa cheti kwanza halafu unaenda kukutana nao...
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Kuoa ni kufuta nyimbo zote kwenye memory card kisha ubakize wimbo mmoja tu ambao unatakiwa uusikilize kila siku.
Siyo jambo dogo lakini hebu bakiza wimbo wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa ni kufuta nyimbo zote kwenye memory card kisha ubakize wimbo mmoja tu ambao unatakiwa uusikilize kila siku.
Siyo jambo dogo lakini hebu bakiza wimbo wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna passion of love na kuna maisha ya ndoa, usipoenda kwa akili unaishia talaka

Jr[emoji769]
 
Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,
Epuka ndoa za uchumba wa miezi 5 hazidumu

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom