Mbona kazi yaarabiMkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Faiza bin foxNamjuaje tena?? Hebu ntajie huko! Mimi nshajiandaa hapa kumzamia mtu piemuni. Sema suuuu uone
Sasa unasema hautaki ndoa hicho unachofanya ni kitu gani hapo?! Binadamu wa sasa akili zenu ndio maana yesu atarejea kuja kutunyuka pumbavu kabisa.....Kila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Faiza bin fox
[emoji23][emoji23] Basi kuna mwingine unamuwaza. Awe ni mke wa mtu lkn ndo mtafarijiana vzr[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema wanaomfuata huko waje hapa hapa hadharani.
Halafu demi usitake kunigombanisha na dada yangu katika imani ujue. Ushindweeeeee ulegeee na utetemeke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23] Basi kuna mwingine unamuwaza. Awe ni mke wa mtu lkn ndo mtafarijiana vzr
Mi sitaji bana utachagua mwenyewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheikh yahaya alishakufaga ujue.
Nimekwambia taja ID nimzamie piemuni unachomoa. Hahahahahaah
Basi namchagua hapa. Akikubali naenda, nimtaje??Mi sitaji bana utachagua mwenyewe..
MtajeeeeeeeeeeBasi namchagua hapa. Akikubali naenda, nimtaje??
unaiba mume wa mtu.....na kwa bahati mbaya hakuna namna ukampata mwanaume wa peke yako,endelea kujipa moyoKila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Lol hahahaahahah. Siku njemaMtajeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2] mm alikuwa na tabia izo nikaona mbna dogo iloo nikawa nachelewa kurudi kama najua Leo kuna mpira au nataka kukaa na marafiki zangu kurudi saa5 au 6 namwambia nitacheleea2 kurudi mwanzo alinunaga akawa anafunga mlang o nikamwambia lala mwenye sirudi siku mbili home akabadilika hadi leoMimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha haaa mbona unakimbia Sasa? Na kwako piaLol hahahaahahah. Siku njema
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamoja
Daah manengelo my sista, nimeumia sana kusoma ulichoandika, yaan sijui hata nikwambieje my dada, uko kwenye hard time sana, ni njiapanda hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa[emoji23][emoji23][emoji23]..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia[emoji58][emoji58][emoji22][emoji22][emoji22]..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman[emoji23][emoji23][emoji23]..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi[emoji22]... !
Dah aisee kumbe tuko wengi sana, tatizo mimi dini hairuhusu, ila kama ningekuwa wa upande ule mapema tu ningerudia maisha yangu ya usela, yani burudani na furaha mda wote, no commitments, no stress, no ishu za leo tukasalimie wakwe, no ishu za baba na mama wanasema mbona kimya sana, no ishu za hiyo nguo uliyovaa haijakupendeza kaibadilishe, ukitoka out hauwazi kumkwaza mtu wala kuangalia angalia saa,Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tu
Anachokuambia ni kweli kuna matumizi ya lazima na yasiyokuwa yalazimaNilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
Nikweli lakini maisha ni pamoja na kujipa raha siku moja moja hata kama majukumu mengine bado, kwani majukumu hayaishi kamweAnachokuambia ni kweli kuna matumizi ya lazima na yasiyokuwa yalazima