Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Unaopoingia katika mahusiano na kijana wa mtu huku kichwani mwako ukiwa na ajenda binafsi halafu ukaingia nae katika ndoa kisha ukamlazimisha yeye kuanza kuyapa kipaumbele yale matakwa yako hapo lazima kufeli kutokee.....

Ndoa inakuwa chungu ama haieleweki sababu wenza huingia katika mahusiano na ajenda binafsi na si ajenda shirikishi. Nitakupa mifano, mwanamke anakwenda kuolewa na mwanaume ili apate mtu wa kumtumia kupata matumizi yake ya kila siku, mbaya zaidi kumtumia huyu mwanaume kutatua shida za nyumbani kwao bila ridhaa yake, matokeo yake ni mwanaume kumuona huyu mwanamke ni mwana Apollo, yaani "gold digger", anaanzaje kumpenda mwanamke aliyejiapiza kuwa anampenda kumbe nyuma ya pazia anataka kumtumia.


Unakuta mwanaume ameoa binti kwa lengo la kutumia mwili kwaajiri ya mgegedo ila si kwaajiri ya kujenga familia, huyu dada akishapata watoto kadhaa na muda ukienda anaanza kuchuja mwili wake na kupoteza ule uzuri. Mwanaume anaanza kubadilika taratibu maana alichovutiwa nacho kimeanza toweka plus ameanza kupewa majukumu ya kifamilia....

Kwa kifupi ni " means justify the ends" ,"how you start predicts where you will end up at"

Usianzishe mahusiano kwa unafiki halafu utegemee maisha ya uadilifu au ya upendo wa dhati. Anzisha mahusiano na mtu ambae mwisho wa siku wewe hautakuwa tatizo kwake ila baraka......na at the same time huyu mtu kwako awe ni kila kitu au sehemu kubwa ya maisha yako na sio kitu cha kutumia kujifurahisha ukijua kuna siku utakitupa kama vile hotpot au chupa ya chai.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri wenye ndoa.

Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.

Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
Sasa unasema hautaki ndoa hicho unachofanya ni kitu gani hapo?! Binadamu wa sasa akili zenu ndio maana yesu atarejea kuja kutunyuka pumbavu kabisa.....

Yaani mfano wake ni kama useme hautaki kuoga halafu una nawa miguu, mara kichwa, mara umenawa mikono, mara umepitisha maji mgongoni , sasa ndio nini hicho, si uoge tu hata kama unaogopa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faiza bin fox
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kasema wanaomfuata huko waje hapa hapa hadharani.

Halafu demi usitake kunigombanisha na dada yangu katika imani ujue. Ushindweeeeee ulegeee na utetemeke😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kasema wanaomfuata huko waje hapa hapa hadharani.

Halafu demi usitake kunigombanisha na dada yangu katika imani ujue. Ushindweeeeee ulegeee na utetemeke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] Basi kuna mwingine unamuwaza. Awe ni mke wa mtu lkn ndo mtafarijiana vzr
 
[emoji23][emoji23] Basi kuna mwingine unamuwaza. Awe ni mke wa mtu lkn ndo mtafarijiana vzr
😂😂😂😂😂😂

Sheikh yahaya alishakufaga ujue.

Nimekwambia taja ID nimzamie piemuni unachomoa. Hahahahahaah
 
Kila la kheri wenye ndoa.

Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.

Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
unaiba mume wa mtu.....na kwa bahati mbaya hakuna namna ukampata mwanaume wa peke yako,endelea kujipa moyo
 
Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2] mm alikuwa na tabia izo nikaona mbna dogo iloo nikawa nachelewa kurudi kama najua Leo kuna mpira au nataka kukaa na marafiki zangu kurudi saa5 au 6 namwambia nitacheleea2 kurudi mwanzo alinunaga akawa anafunga mlang o nikamwambia lala mwenye sirudi siku mbili home akabadilika hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamoja
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa[emoji23][emoji23][emoji23]..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia[emoji58][emoji58][emoji22][emoji22][emoji22]..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman[emoji23][emoji23][emoji23]..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi[emoji22]... !
Daah manengelo my sista, nimeumia sana kusoma ulichoandika, yaan sijui hata nikwambieje my dada, uko kwenye hard time sana, ni njiapanda hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tu
Dah aisee kumbe tuko wengi sana, tatizo mimi dini hairuhusu, ila kama ningekuwa wa upande ule mapema tu ningerudia maisha yangu ya usela, yani burudani na furaha mda wote, no commitments, no stress, no ishu za leo tukasalimie wakwe, no ishu za baba na mama wanasema mbona kimya sana, no ishu za hiyo nguo uliyovaa haijakupendeza kaibadilishe, ukitoka out hauwazi kumkwaza mtu wala kuangalia angalia saa,
 
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
Anachokuambia ni kweli kuna matumizi ya lazima na yasiyokuwa yalazima
 
Back
Top Bottom