Aisee au nighairishe haka kampango? Maana sijaona hata mmoja anaesemaa kitu positive kidogo nikapata moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu hili jambo la ndoa mara nyingi mtu hujifunza kwa vitendo, ingia ili nawe upate experiences zako, hata ukielezwa vp huwezi pata picha halisi mpaka utie maguu humo, mimi haya yote nilikuwa nayasikia lakini nikajipa moyo kuwa kwangu itakuwa tofauti, hahahahaha kilichonipata ndicho kilimtoa kanga manyoya
Sent from my iPhone using JamiiForums