Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Aisee au nighairishe haka kampango? Maana sijaona hata mmoja anaesemaa kitu positive kidogo nikapata moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha mkuu hili jambo la ndoa mara nyingi mtu hujifunza kwa vitendo, ingia ili nawe upate experiences zako, hata ukielezwa vp huwezi pata picha halisi mpaka utie maguu humo, mimi haya yote nilikuwa nayasikia lakini nikajipa moyo kuwa kwangu itakuwa tofauti, hahahahaha kilichonipata ndicho kilimtoa kanga manyoya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndyo lakini kujipa furaha ni lazima ndoa ni furaha si mateso mmoja wenu anapofanya jambo la kuwaleta pamoja kma wanandoa mfurahi pamoja huwezi sema anapoteza pesa vp kma angetoka nalo usiku bila ww kuwepo na akatumia iyo pesa bila ww kuwepo na gari likapakiwa apo ndani mda mwingine nyie wanawake mnakuwa kero na wachungu kama pili pili

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole jitahidi kumuelewesha
 
Hivi hujuagi kuwa ubaya ndo huwa unavuma kuliko wema? Wapo wenye ndoa njema kibao tu, sema wengi wao hawanaga muda hata wa kuandika. Na hata wakiandika kusifia ndoa zao, tunakuwa wa kwanza kuwaongelea mbovu, sijui ndoa yenu ina miaka mingapi blah blah blah. In short binadamu hatupendi habari nzuri
Aisee au nighairishe haka kampango? Maana sijaona hata mmoja anaesemaa kitu positive kidogo nikapata moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaopoingia katika mahusiano na kijana wa mtu huku kichwani mwako ukiwa na ajenda binafsi halafu ukaingia nae katika ndoa kisha ukamlazimisha yeye kuanza kuyapa kipaumbele yale matakwa yako hapo lazima kufeli kutokee.....

Ndoa inakuwa chungu ama haieleweki sababu wenza huingia katika mahusiano na ajenda binafsi na si ajenda shirikishi. Nitakupa mifano, mwanamke anakwenda kuolewa na mwanaume ili apate mtu wa kumtumia kupata matumizi yake ya kila siku, mbaya zaidi kumtumia huyu mwanaume kutatua shida za nyumbani kwao bila ridhaa yake, matokeo yake ni mwanaume kumuona huyu mwanamke ni mwana Apollo, yaani "gold digger", anaanzaje kumpenda mwanamke aliyejiapiza kuwa anampenda kumbe nyuma ya pazia anataka kumtumia.


Unakuta mwanaume ameoa binti kwa lengo la kutumia mwili kwaajiri ya mgegedo ila si kwaajiri ya kujenga familia, huyu dada akishapata watoto kadhaa na muda ukienda anaanza kuchuja mwili wake na kupoteza ule uzuri. Mwanaume anaanza kubadilika taratibu maana alichovutiwa nacho kimeanza toweka plus ameanza kupewa majukumu ya kifamilia....

Kwa kifupi ni " means justify the ends" ,"how you start predicts where you will end up at"

Usianzishe mahusiano kwa unafiki halafu utegemee maisha ya uadilifu au ya upendo wa dhati. Anzisha mahusiano na mtu ambae mwisho wa siku wewe hautakuwa tatizo kwake ila baraka......na at the same time huyu mtu kwako awe ni kila kitu au sehemu kubwa ya maisha yako na sio kitu cha kutumia kujifurahisha ukijua kuna siku utakitupa kama vile hotpot au chupa ya chai.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatemaga tanzanite..kudos[emoji2958][emoji2958]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Asee mkuu zihurumie mbavu zangu[emoji1787]

N.B. Mkuu we ni jipuuu, kuna kitu nimegundua[emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
* No kusalimia wakwe
* Baba na mama wanasema kimya sana
*Nguo uliyovaa haijakupendeza
* Free kutoka out.

And you are here saying unawish kuvunja ndoa; kwa sababu hizo za hapo juu? Mpendwa hizo ni changamoto za kuvunja ndoa kweli; kweli? Aisee kuna watu wana changamoto, wewe unatania unless kuna mengine makubwa hujayasema

Dah aisee kumbe tuko wengi sana, tatizo mimi dini hairuhusu, ila kama ningekuwa wa upande ule mapema tu ningerudia maisha yangu ya usela, yani burudani na furaha mda wote, no commitments, no stress, no ishu za leo tukasalimie wakwe, no ishu za baba na mama wanasema mbona kimya sana, no ishu za hiyo nguo uliyovaa haijakupendeza kaibadilishe, ukitoka out hauwazi kumkwaza mtu wala kuangalia angalia saa,
 
Nafikiri nimeanza kumuelewa mke wako
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
 
Anachokuambia ni kweli kuna matumizi ya lazima na yasiyokuwa yalazima
Nimemwambia hata mimi...wife yuko ktk right track [emoji848]

Utaendeshaje gari halina bima ya laki halafu unaenda kuspend 120, 000...full kuendesha usiku kama manyaunyau[emoji1787][emoji23][emoji23]

Jamaa jipuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchungaji yeyote kuteseka kila siku ye ni kawaida yake lakini hachoswi na kile anachokichunga kwani anaamini kufanya hivyo kuna faida yake. Mfikirie mtu anaechunga mbuzi ye kila siku huvutana na mifugo yake lakini hachoki wala haiachi mifugo yake.
Tuje kwa binaadamu sasa
Ndoa ni kitendo cha kuchungana tena vibaya zaidi mnachungana wenye akili, hapo lazima uvumilivu na ustahamilivu wa hali ya juu unahitajika. Maana bila ya hivyo hakuna kudumu hapo. Tuvumiliane tu, kwani usiwaone bibi na babu wamefika mbali ujue wamevumiliana mengi sana.
Kwakweli siwezi kufunguka naendelea kufanya kama vile alivyofanya babu.

"ᵀʳʸ ⁿᵒᵗ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ᵇᵘᵗ ʳᵃᵗʰᵉʳ ᵗʳʸ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ᵛᵃˡᵘᵉ✓"
 
Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana.
Kuna wakati mkeo anakuwa rafiki yako.
Wakati mwingine anakuwa adui yako.
Wakati mwingine anakuwa boss wako vice versa is also true.

Wakati mwingine mume unakuwa polisi na mke mfungwa vice versa is also true
Wakati mwingine chumbani kunageuka ulingo wa masumbwi na watoto washangiliaji

Wakati mwingine mnakuwa majirani kila mtu hajui kinachoendelea kwa jirani yake

Wakati mwingine mnakuwa mtu mmoja indivisible being

Wakati mwingine mmoja anakuwa Mtoto na mwingine ni mzazi.

Na haya ndiyo huwa maisha yetu ya kila siku ndoani.

Asikwambie mtu hakuna Kitu kinachoongeza heshima na hadhi ya mtu kama ndoa.

Onyo. Usiulizie matumizi ya hela za mkeo jifanye huoni yanayoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha mkuu....vice versa is also true[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom