Mada maalum kwa wanandoa

Mkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee au nighairishe haka kampango? Maana sijaona hata mmoja anaesemaa kitu positive kidogo nikapata moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba usiweke diplomasia sana kwenye ndoa utaishindwa na utaona kama jehanamu ili uweze kuishi na mwanamke lzma uwe vise verse sio kwa kila jambo lakini mengi lazima yawe ivyo akinuna nawe usiongee naye mpotezee atakaaa badaye atajichesha mwenyewe si lazima kila siku uwahi kurudi siku nyingine chelewa akipiga simu unasema2 nitachelewa siku akikupandishia mdomo unaondoka nje kuzuia ugomvi mm nilikuwa na mwenzangu tulikaa miaka 4 nilichojifunza tafuta furaha yako mwenyewe usitake kumfuraisha mtu asiyejali fanya yote likini usiache kujifuraisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Jamaa unanielezea mimi na ndoa yangu......
 
Anachokuambia ni kweli kuna matumizi ya lazima na yasiyokuwa yalazima
Ndyo lakini kujipa furaha ni lazima ndoa ni furaha si mateso mmoja wenu anapofanya jambo la kuwaleta pamoja kma wanandoa mfurahi pamoja huwezi sema anapoteza pesa vp kma angetoka nalo usiku bila ww kuwepo na akatumia iyo pesa bila ww kuwepo na gari likapakiwa apo ndani mda mwingine nyie wanawake mnakuwa kero na wachungu kama pili pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huyu kishabeba mimba tayari, nasubiri ajifungue nimpige chini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]...mnyakyusa nini wifi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani najizuia kusema mengi ila najikuta tuu nshaweka uzi.....

Mahaba ni kitu kingine kabisa....

Najua sad moments zipo ila, utamu, furaha, upendo, amani, raha yaani it’s more than being crazy drunk in love....

Kasie wa Dadii.
Umenikumbusha mange anavyotudolishia mzungu wake mpya[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
Haaaahaaaa[emoji1787][emoji23][emoji23]kumbe ndo sababu? Wanaume hapana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huu ushauri murua sana mkuu, thanks


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…