Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Love is a beautiful thing after all

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
mchukue rasmi shoga..haha mwarabu yule[emoji23][emoji23] ..anavyopenda slope ss[emoji23][emoji23]kuna askar alitusikiliza akasema dada huyu inaonekana ndo ukivyomlea toka mmekutana..ww huon shida kumpa pesa yako bas naye akajisahau...huyu shoga ht mm simtaki[emoji23][emoji23] nikamwambia its true sikuwa mlilia shida..ss ww yachukue kwangu as somo..ukikutana na mchumba mara moja moja mlilie shida utaona anrespond vip[emoji4][emoji4]..mm sikuwah kbs mwambia naomba hela..sijui nipoje..
Alafu hii huwa naisikia kwa wsnawake wengi waloolewa na wanaume ambao hawakuwalilia shida.

My dear mie nina shida hadi kwenye kope hivyo silazi damu.
 
Back
Top Bottom