BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Umesahau moja Madame S kugegedana wakati wowote kwa raha zenu siyo kutafuta visingizio visivyo kichwa wala miguu ili kumnyima mwenzio utamu ambao ni halali yake.
Nashukuru kiimani yangu kuoa au kuolewa ni kuikamilisha nusu ya dini, ya kupoteza nuru kuzeeka haraka sjaona maybe ndoa zenu zina migogoro isiyokwisha na hazina amani, marafiki zangu wengi walioolewa kabla yangu kama ni uzuri umezidi hasa na mashemeji zangu wako smart na nyuso za kung'aa siri kubwa nilioambiwa kudumu ni kuvumilia na maskilizano ndani, kuheshimiana,kuthaminiana, kuaminiana na kupendana
So mkuu, unajutia why umeoa sababu unazeeka au? I mean kwa majibu haya ni majuto au?