Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Umesahau moja Madame S kugegedana wakati wowote kwa raha zenu siyo kutafuta visingizio visivyo kichwa wala miguu ili kumnyima mwenzio utamu ambao ni halali yake.

Nashukuru kiimani yangu kuoa au kuolewa ni kuikamilisha nusu ya dini, ya kupoteza nuru kuzeeka haraka sjaona maybe ndoa zenu zina migogoro isiyokwisha na hazina amani, marafiki zangu wengi walioolewa kabla yangu kama ni uzuri umezidi hasa na mashemeji zangu wako smart na nyuso za kung'aa siri kubwa nilioambiwa kudumu ni kuvumilia na maskilizano ndani, kuheshimiana,kuthaminiana, kuaminiana na kupendana

So mkuu, unajutia why umeoa sababu unazeeka au? I mean kwa majibu haya ni majuto au?
 
Hahahahahaha akili imetekwa na JamiiForums lol! Mie mtu kutaka kubadili mfumo wa maisha yangu hasa vitu vinavyonipa raha sana kama clubbing hapo hatutaelewana hata chembe.

Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akili.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom